MWANZILISHI WA APPLE AFARIKI DUNIA. MASTAA KIBAO WAMLILIA.. UNGANA NAMI UONE WANASEMAJE!
JAMII 7:00 PM
Mwanzilishi wa kampuni ya Apple Steve Jobs amefariki dunia leo baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani na hatimaye kusalimu amri kwa miaka minane. Rambirambi kibao zimeanza kumiminika dakika chache baada ya kutangazwa kwa kifo cha gwiji huyu ambaye ndiye aliyebuni siku za iPhone pamoja na Ipad na Ipod. Amekufa akiwa na umri wa miaka 56
Mara baada ya tangazo la msiba huo kutolewa na kampuni ya Apple, Mastaa kibao walitoa machungu na vilio vyao katika mtandao wa Twitter kama unavyoona hapa chini
blink182 (@blink182): RIP Steve Jobs. Thanks for everything that you have done for the music business and the world http://bit.ly/naQsj0
OneRepublic (@OneRepublic): R.I.P STEVE JOBS. WE ARE SPEECHLESS AND BEYOND SADDENED. ONE OF THE GREATEST MINDS OF OUR TIME. DAMMIT
josh groban (@joshgroban): Such a sad day, I can trace my apple memories to the IIC when i was a kid. RIP
Ameriie 에므리 (@ItsAmeriie): Steve Jobs was a visionary, whose imagination propelled us all into the future, impacting the course of human history forever.
the ready set (@thereadyset): Damn. Super bummer about Steve Jobs. Thanks for products that helped me create TRS.















