MWANZILISHI WA KAMPUNI YA APPLE, STEVE JOBS AFARIKI DUNIA
Posted by Bigie
JAMII
6:34 PM
|
| Mwanzilishi wa kampuni ya Apple Steve Jobs amefariki dunia leo baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani na hatimaye kusalimu amri kwa miaka minane. Rambirambi kibao zimeanza kumiminika dakika chache baada ya kutangazwa kwa kifo cha gwiji huyu ambaye ndiye aliyebuni siku za iPhone pamoja na Ipad na Ipod. Amekufa akiwa na umri wa miaka 56 |
Marehemu Steve Jobs alipokuwa anazindua iPad
Picha ya Mwisho: Marehemu Steve Jobs akisindikizwa na rafiki yake kuelekea hospitali Agosti 26 mwaka huu nyumbani kwake California

Posted by Bigie
on 6:34 PM.
Filed under
JAMII
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0