NYUMBA YA JAMBAZI SUGU YAVUNJWA NA MALI NYINGI ZA WIZI ZADAKWA

 
Wananchi wa manispaa ya Iringa eneo la Mawelewele katika Manispaa ya Iringa wakitazama mali za wizi baada ya kubaini nyumba ya jambazi sugu aliyekuwa akifanya mauwaji na kupora mali za watu eneo la Donbosco


Hapa wakifukua mali zaidi katika zoezi linaloendelea



Mali za wizi zikifukuliwa sasa


Wananchi wa Manispaa ya Iringa asubuhi hii wapo katika nyumba ya jambazi sugu Msafiri Ilomo ambaye anadaiwa kusumbua wananchi wa mji wa Iringa kwa kuwapiga nondo na kupora mali zao .

Zaidi ya wananchi 100 wa eneo hilo na maeneo ya jirani wamekwisha vamiwa na jambazi hilo na mtandao wake na kuporwa mali mbali mbali .


Zoezi la kufukua mali zaidi linaendelea sasa na tayari mbunge wa jimbo la Iringa mjini amefika katika eneo la tukio

Posted by Bigie on 12:13 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.