WAREMBO WANASWA WAKISAGANA LIVE




Miss Ruvuma  2005 ambaye alishiriki kinyang’anyiro cha Miss Tanzania mwaka huo na kuangukia pua, Isabella Mpanda ‘Bella’ amefumwa ‘laivu’ akifanya vitendo vya kisagaji na rafiki yake aliyetajwa kwa jina moja la Jack

Bella asiyekuwa na tone la aibu alinaswa  akijihusisha na uchafu huo wa kufedhehesha ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ ilikuwa ikifanya makamuzi.
                              
Katika tukio hilo, wakati Wazee wa Kizigo wakikamua stejini, shuhuda wa tukio hili  aliwapiga chabo warembo hao wakiwa wamejibanza kwenye mwanga hafifu nyuma ya ukumbi huku wakishikana sehemu nyeti kwa staili ya ‘baba na mama’.


 
Kwa mujibu wa mkanda wa picha unaoshikiliwa na gazeti maarufu hapa nchini la Risas , Bella , alionekana kucheza nafasi ya mwanamke huku Jack akichukua uhusika wa mwanaume katika sinema hiyo .

Katika tukio hilo lisilovumilika, wasichana hao walionekana kushikana  sehemu nyeti na baadaye ‘walianza kupigana denda’ bila kujali watu waliokuwa wakiwatemea mate chini kwa kushindwa kuwavumilia.



Baada ya ‘kuwapiga’ picha za kutosha kwa ajili ya ushahidi wa uchafu wao, paparazi wa gazeti hilo aliwafuata ili kupata mzani wa tukio hilo ambapo mbali na kupigwa na butwaa kwa aibu wakijua kuwa ishu ‘imesanuka’, wawili hao waliokuwa wamekumbatiana waliachiana, wakawa wanategeana kuzungumza.

 Alipoendelea kuwabana, Bella alifyatuka: “Hebu futika mbele yetu, nani amekutuma kutufuatilia kwenye ‘praiveti’ yetu? Ondoka kabla hatujakuita mwizi.”

CHANZO: GLOBAL PUBLISHER
 

Posted by Bigie on 12:01 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.