MAMIA YA WANANCHI WAOMBOLEZA MSIBA WA REGIA MTEMA
JAMII 8:06 PM
Dk.Slaa akiwa msibani

Dk.Slaa akiongea na Mama yake na Zitto Shida Salum na Muhonga Ruhwanya

Mzee Estalus Mtema baba wa marehemu Regia Mtema (katikati)

David Kafulila na Stephen Wassira

Picha ya Regia Mtema

Waimbaji

Waimbaji wa Karismatiki Katoliki wakiimba nyimbo za maombolezo

Mabere Marando na Mathias Chikawe

David Kafulila na Job Ndugai

Baadhi ya waombolezaji

Halima Mdee na Ester Bulahya

John Heche, Grace Kihwelu na Mh Rose Kamili

John Mnyika katika majadiliano kadhaa msibani


Bango likielekeza wageni njia kuelekea nyumbani kwao Regia Tabata CHANG'OMBE






