MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DR.MARY MWANJELWA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWANJELWA
Posted by Bigie
JAMII
2:43 PM
 |
| Mh Dr. Mary Mwanjelwa mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya akiongea na wananchi wa mwanjelwa katika kiwanja cha sido |
 |
| Mh. Mary Mwanjelwa akihutubia wananchi katikati ya madimbwi ya maji ya mvua huku akisisitiza kuwa ataenda kumwona mkurugenzi wa jiji la mbeya na kumwomba aje afukie madimbwi hayo huku wananchi wakimshangilia kwa ahadi hizo |
 |
| Habari kamili tutawaletea baadae |

Posted by Bigie
on 2:43 PM.
Filed under
JAMII
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0