KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMATI ZA FEDHA ZA UMMA BUNGENI DODOMA LEO

Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Kulia) akimsikiliza mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. John Cheyo (katikati) wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Zainabu Vulu. Balozi Sefue alifanya ziara ya kikazi Bungeni kwa lengo la kujitambulisha.
Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Kulia) akizungumza na mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Mhe. Agustino Mrema wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Idd Azzan. Balozi Sefue alifanya ziara ya kikazi Bungeni kwa lengo la kujitambulisha.
Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Kulia) akimsikiliza mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) Mhe. Zitto Kabwe wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma. Balozi Sefue alifanya ziara ya kikazi Bungeni kwa lengo la kujitambulisha.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akiwa katika mazungumzo na katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue, wakati Balozi Sefue alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma. Kushoto ni Msaidizi wa Katibu wa Bunge Nd. Emmanuel Mpanda, pamoja na Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge Ndg. John Joel.
Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Kulia) akimsikiliza makamu mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) Mhe. Deo Filikunjombe wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Zitto Kabwe. Balozi Sefue alifanya ziara ya kikazi Bungeni kwa lengo la kujitambulisha.

Posted by Bigie on 6:58 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.