LEO TUTAKULETEA MWENDELEZO WA KESI YA LULU MICHAEL TOKA MAHAKAMA YA KISUTU.....ENDELEA KUWA NASI
JAMII 7:03 PM
Kesi ya kuhusika na mauaji ya Steven Charles Kanumba inayomkabili Elizabeth Michael “Lulu” inatarajiwa kutajwa tena leo tarehe 23/04/2012 jijini Dar-es-salaam baada ya kuwa imeshatajwa mara moja na upande wa mashitaka kudai kuendelea na uchunguzi na hivyo mtuhumiwa Lulu kuendelea kusota rumande.
Tunaahidi kukulea taarifa zote zitakazojiri leo






