Mkutano wa mwaka wa 32 wa umoja wa taasisi za mawasiliano kusini mwa afrikai wafunguliwa jijini dar leo


Naibu Waziri wa Sayansi na  Mawasiliano Charles Kitwanga akifungua mkutano wa mwaka wa 32 wa Umoja wa Taasisi za Mawasiliano Kusini mwa Afrika unaofanyika kwa siku mbili unaojadili mambo mbalimbali katika mawasiliano ya simu ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kidigitali, mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 14 za (SAADC) Zimbabwe, Namibia, Botswana, Malawi Msumbiji, Afrika Kusini Rethoto na Tanzania .

Posted by Bigie on 4:37 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.