MWANAMKE WA KIAFRIKA AFANANISHWA NA KEKI.....

female genital mutilation sweden african woman fgm
Ipo hii habari ambayo niliisoma kwenye kundi pepe la PiCii, baadaye nikaiona kwenye kundi la Wanazuoni na mwishowe ndugu Richard akanitumia linki, nikaona vyema kuiweka hapa kwa majadiliano. Taarifa zote hizo zimetukwa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari lakini vinazungumzia suala moja - keki aliyoikata Waziri mmoja huko nchini Sweden.


Gumzo linalotokana na keki hiyo ni la wanaharakati na kila anayeitafsiri kuwa imemdhalilisha mwanamke mweusi wa asili ya Afrika kutokana na rangi yake, pamoja na kilio anachokitoa wakati inapokatwa. Umetolewa wito wa kutaka Waziri husika ajiuzulu mara moja kutoka katika wadhifa wake kwa kitendo hicho cha kibaguzi na cha udhalilishaij.


Wahusika walioitengeneza keki hiyo wanasema lengo lao kuu halikuwa kama ilivyotafsiriwa na wanaharakati, bali lilikuwa ni kutumia maadhimisho ya "Siku ya Sanaa Duniani" kufikisha ujumbe kwa umma kwa njia ya sanaa kuonesha maumivu ya ukatili dhidi ya mwanamke hasa wa Afrika unaofanywa kwa kuwatahiri. Kila mtu anapoikata, keki hiyo inatoka sauti ya kilio kwa nia kwamba ipeleke ujumbe wa maumivu hayo ili watu waguswe na kuacha tabia za tohara kwa wanawake. 


Mtoa maoni "rufflesc" kwenye video iliyopo youtube anasema, "The intention of this was to highlight female mutilation in Africa. It's not in the best taste (no pun intended) but it's intention was good."


Unaeweza kutizama video hiyo hapo chini kusikia sauti hiyo.


Picha imewekwa kwa wale wasioweza kutizama video lakini walao wataona picha na kuelewa tunachozungumza.


Habari zilizoandikwa kwa lugha ya Kiingereza zinasomeka chini ya video hiyo.

Swedish minister triggers race row after cutting cake in the shape of a naked, black, native African woman

Lena Adelsohn Liljeroth had appeared at the Museum of Modern Art in Stockholm when she was invited to cut the cake which was designed like a naked African woman.


The Swedish minister cut pieces from the black cake, which had blood-red sponge and was designed to highlight the issue of female genital mutilation.


Despite the intentions of the bizarre cake, however, critics described it as a 'racist spectacle', and demanded Ms Liljeroth resigned for participating in the 'tasteless' event.


The Association for African Swedes said the cake was a crude racist caricature which 'makes a mockery of racism'.


Kitimbwa Sabuni, a spokesperson for the group, told Swedish news agency TT: 'To say that you did this for a good cause only makes the mockery of people who are victims of racism and of circumcision worse.'


Mr Sabuni told a Swedish newspaper Ms Liljeroth's participation in a dubious event with cannibalistic overtones showed her 'incompetence and lack of judgment'.


Makode Linde, the artist who came up with the cake, had placed his own head at the top of the cake and said it had been misunderstood.


The black cake, part of an exhibition on World Art Day, was intended as part of the artist's project illustrating degrading stereotypes of black people through history.


Liljeroth, whose photograph cutting a piece of the cake was widely shown in Swedish media, said she understood why people would be offended by the incident.


She said in a statement: 'I was invited to speak at World Art Day about the freedom of art and its right to provoke.


'And then they wanted me to cut into the cake. I don't review art, but I can very well understand that this whole situation was misunderstood.'


source: Dailymail.co.uk, also see: thelocal.se

Posted by Bigie on 11:35 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.