SAFARI LAGER YAENDESHA SEMINA YA MAFUNZO YA UJASILIAMALI JIJINI DA ES SALAAM

Mkufunzi wa mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lager, Masudi Kandoro (kushoto) akifafanua jambo wakati wa semina ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali inayoendelea katika Hoteli ya Johanasbarg Sinza jijini Dar es Salaam.
Mkufunzi wa mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lager, Rahel Emanuel(kulia) akifafanua jambo wakati wa semina ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali inayoendelea katika Hoteli ya  Johanasbarg  Sinza jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lager, Kelvin Muganyizi akifafanua jambo kutoka kwenye picha wakati wa semina  ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali inayoendelea katika Hoteli ya Johanasbarg Sinza jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali wakisikiliza mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji yanayoendeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lagerwakati wa semina inayoendelea katika Hoteli ya Johanasburg Sinza jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa wa wa semina ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja wakati mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji yanayoendeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lagerwakati wa semina inayoendelea katika Hoteli ya  Johanasbarg  Sinza jijini Dar es Salaam.

Posted by Bigie on 6:45 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.