TUMIA GMAIL KUPATA TAARIFA ZA VIDEO MPYA ZINAZOWEKWA YOUTUBE
JAMII 4:50 AM
Ingia kwenye akaunti yako ya Youtube kupitia "Sign In" (kama huna akaunti, jiandikishe ufungue akaunti).
Tafuta na halafu jiandikishe kwa mtu au mkampuni ambayo unataka kufuatilia video na taarifa zake zinapowekwa na wahusika wenyewe kwenye youtube kwa kubofya kifute kilichoandikwa "subscribe" kinachoonekana juu ya video.

picha namba 1: Subscribe kwanza kwenye chaneli husika
Ili kupokea taarifa za video mpya (notification) tia alama ya vema (check mark) kwenye kijisanduku kilichopo kabla ya maneno yanayosomeka "Also email me for each new upload". Fanikisha hilo kwa kuweka mouse juu ya maandishi (hover your mouse over) "subscription" ambapo ulilibofya awali wakati unajiandikisha kwenye chaneli.
picha namba 2: Hover mouse kwenye neno subscribe kisha sogeza kutia cheki kwenye kijisanduku cha pili
Baada ya kufanya hivi, utakuwa unapokea ujumbe kwenye email yako iliyounganishwa na youtube kila mara mtu au kampuni inapoweka (upload) video mpya kwenye youtube.
Unaweza kujitoa wakati wowote kwa kurudi kwenye chaneli husika na kubofya neno "subscribed" ili ku-unsubscribe.
Zifuatazo ni chaneli zenye taarifa na habari za Tanzania ambazo unaweza kufuatilia:
Unaweza kujitoa wakati wowote kwa kurudi kwenye chaneli husika na kubofya neno "subscribed" ili ku-unsubscribe.
Zifuatazo ni chaneli zenye taarifa na habari za Tanzania ambazo unaweza kufuatilia:
| ITV - ITVTanzania Capital TV - capitaltvtz CHADEMA - chadematv Haki Elimu - hakielimutz Kennedy Kimaro - Tangibovu Michuzi - mdauwalibeneke Michuzi Jr - Michuzijr | Michuzi Jr2 - Michuzijr2 Mkasi Tv - MkasiEATV Mwanakijiji - mwanakijiji Shaffih Dauda - shaffihdauda Twaweza - Twaweza Uwazi - uwazi1 Zamaradi - Zamaradi100 |