Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama Nae Amjulia Hali Waziri Asiye na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya
JAMII 5:16 PM
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akizungumza na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake, Kunduchi, Dar es Salaam. Katikati ni Lucy, mke wa Mwandosya





