Kuna kumpa mtoto kazi ajifunze, halafu kuna hii...

..ambayo ni zaidi ya ajira kwa watoto. Hivi ni kumkomaza na kumdumaza mtoto kiafya. Hebu tuwe makini tunapowapa watoto kazi "chores" kwa ajili ya kuwafunza kukabiliana na majukumu ya kimaisha. Haya mengine watakutana nayo wakizembea kujifunza utotoni na ujanani, si kuwapa shubiri hii.
Picture

Posted by Bigie on 11:03 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.