MWANAHABARI RACHEL MWILIGWA AFARIKI DUNIA
JAMII 1:36 AM

Marehemu Rachel Mwiligwa enzi za uhai wake.
TASNIA ya habari nchini na hasa michezo na burudani imepata pigo baada ya mpiganaji wake, Rachel Mwiligwa ambaye alikuwa mhariri wa michezo wa gazeti la Mtanzania kufariki usiku wa kuamkia leo.
Rachel alikuwa amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam tangu mapema wiki hii.
Rachel alikuwa amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam tangu mapema wiki hii.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi