Picha za mbunge wa Rombo, Joseph Selasini na mkewe Digna Kavishe hospitalini KCMC
habari za kitaifa 8:48 PM
Picha za Mbunge wa Rombo (CHADEMA) Joseph Selasini na mkewe Digna Kavishe waliopatwa na ajali juzi, ambao hivi sasa wamelazwa katika hospitali ya KCMC kwa matibabu zaidi.
Watu mbalimbali wanaruhusiwa kufika hospitalini hapo kuwajulia hali na kuwapa mkono tu, si kwa mazungumzo, kwa kuwa wagonjwa wanahitaji mapumziko makubwa ili kuhifadhi nguvu ya mwili ambayo ni sehemu ya matibabu.

Mbunge Joseph Selasini wa Rombo akiwa amelala kitandani (picha: Rodrick Mushi)
Digna Kavishe, mkewe Joseph Selasini akiwa amelala kitandani (picha: Rodrick Mushi)