RAIS KIKWETE ATEMBELEA SOKO LA MITAJI NA MAZAO LA ETHIOPIA (ETHIOPIA COMMODITY EXCHANGE

Rais Dkt. Jakaya Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika ofisi za Soko la Mitaji na Mazao la Ethiopia leo,wakati alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipokea kikombe cha kahawa baada ya kishuhudia namna kahawa inavyoandaliwa kaisili katika ofisi za Soko la Mitaji na Mazao la Ethiopia leo,wakati alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya masoko ya hisa na mitaji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kengele kuashiria mwanzo wa soko katika makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya Mazao la Ethiopia leo,wakati alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia wachuuzi wakiwa kazini baada ya kufunguliwa kwa soko katika makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya Mazao la Ethiopia leo,wakati alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya soko la hisa na mitaji

Posted by Bigie on 4:59 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.