SIKU CITY SPORTS LOUNGE ILIPOZINDULIWA
Posted by Bigie
habari za kitaifa
12:56 AM
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba, akizungumza na William Malecela, pembeni ni mkewe Mheshimiwa, Mrs. Makamba, kwenye ufunguzi wa City Sports Lounge. Kiota cha Uhakika kilichopo karibu na Mzungungo wa Askari katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Siku ya Ufunguzi wa City Sports Lounge, picha za wananchi mbali mbali waliohuduria wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Club, Bw. JumaPinto, (mwenye fulana ya kijani), hapa chini aliyesimama ni Mjumbe wa UV-CCM, Taifa, Mh. Ridhiwani Kikwete.

Posted by Bigie
on 12:56 AM.
Filed under
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0