THEA: "NITAZAA WATOTO 12"

Ndumbagwe Misayo ‘Thea’.

MSANII wa filamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amefunguka kuwa, endapo Mungu atamjaalia baada ya kujifungua mtoto aliyenaye tumboni, ataongeza wengine nane ili atimize watoto 12.

Akizungumza katika Kipindi cha Take One kinachorushwa hewani na Televisheni ya Clouds, Thea alisema anatafanya hivyo ili kutimiza maneno ya Mungu kuwa ‘zaeni muiongeze dunia’.

Alisema, mpaka sasa ana watoto 3 na anayafurahia maisha yake ya ndoa na mumewe Mike Sangu “Endapo nitajaaliwa uhai na afya basi nitazaa watoto kama kumi na mbili hivi, niko ndani ya ndoa na mume wangu Mike nampenda sana na Mungu atujaalie tudumu,” alisema Thea.

Posted by Bigie on 2:36 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.