UPDATE TOKA IKULU: JK ATATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI MUDA WOWOTE KUANZIA SASA
JAMII 11:28 PM

Ikulu imetoa taarifa rasmi kwamba baraza jipya la mawaziri liko jikoni na sasa litatangazwa muda wowote kuanzia sasa..taarifa hiyo imeongeza kwamba baraza hilo litakua lina ubora wa hali ya juu sana.





