UPDATE: WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAMEITWA IKULU MCHANA HUU. KUNA NINI?? ....ENDELEA KUWA NASI

Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.

*Kwa habari zaidi ungana nasi Baadaye

Posted by Bigie on 5:43 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.