UPDATE YA MATOKEO: SEKONDARI 10 BORA,WANAFUNZI 5 BORA SAYANSI, BIASHARA NA LUGHA


Rekodi zilizowekwa katika matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa kidato cha sita 2012

Sekondari zilizofanya vizuri zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa 30 au zaidi:
1. Marian (wasichana) - Pwani
2. Feza (wavulana) - Dar es Salaam
3. Kisimiri - Arusha
4. Kibaha - Pwani
5. Ilboru - Arusha
6. Mzumbe - Morogoro
7. Msalato - Dodoma
8. Tabora (wavulana) - Tabora
9. St. Mary's Mazinde Juu - Tanga
10. Consolata Seminari - Iringa

Sekondari iliyoongoza kwa kufaulu katika kundi la shule zenye watahiniwa chini ya 30:
1.       Uru Seminari
2.       Iwawa
3.       Maua Seminari
4.       Harrison Uwata
5.       Beroya
6.       Palloti
7.       Lutengano
8.       Makita
9.       Mwanga
10.   Visitation (wasichana)

Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Sayansi
1. Faith Assenga - Marian
2. Zawadi Mdoe - Feza
3. Belnadino Mgimba - Minaki
4. Jamal Juma - Feza
5.Imaculate Mosha - Marian

Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Biashara
1. Alex Isdor - Kibaha
2. Ephraim Tumwidike - St Joseph's Cathedral
3. Vaileth Mussa - Weruweru
4. Seleman Manyiwa - Kibaha
5. Hussein Issa - Azania

Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Lugha na Sayansi ya Jamii
1. Faridi Abdalla - Mpwapwa
2. Jema Rwihura - Weruweru
3. Mariam Hincha - Weruweru
4. Neema Mbandwa - Igawilo
5. Hemed Hussein - Tosamaganga

Sekondari zilizofanya vibaya zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa 30 au zaidi:

1.       Pemba Islamic
2.       Zanzibar Commecial
3.       Kongwa
4.       Uweleni
5.       Mazizini
6.       Lumumba
7.       Ben Bela
8.       Mlima Mbeya
9.       Laurate International
10.     Haile Selassie

Sekondari zilizofanya vibaya zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa chini ya 30:
1.       Mbarali Preparatory
2.       Philter Federal International
3.       High-View International
4.       Kifai Modern
5.       Sha
6.       Dar es Salaam Prim
7.       Kandoto Sayansi
8.       Popatlal
9.       Al-Falaah Muslim
10.     Kiuma

Matokeo ya wanafunzi wote yanapatikana kwenye linki zifuatazo:
1. matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm

2. utawala.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm

3. admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm

Posted by Bigie on 2:43 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.