HUDUMA YA AIRTEL SUPA 5 YAZINDULIWA KWA KISHINDO MJINI MOROGORO
habari za kitaifa 10:21 AM

Msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki akighani jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa Morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi - Uwanja wa Ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel. Huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, Arusha na Mwanza.


Wasanii wa kundi maarufu nchini la Tip Top Connection lenye makazi yake Manzese, jijini Dar es Salaam, Madee na Tundaman wakiimba jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa Morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi - Uwanja wa Ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.


Wasanii wa bendi ya Mashujaa wakiongozwa na rais wao (aliyevaa suruali nyeupe), Charles Baba a.k.a Kingunge wakiwasha moto jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa wa Morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi - Uwanja wa Ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.

Sehemu ya umati wa wakazi wa Morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi - Uwanja wa Ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.



Wateja wa Airtel wakiwa na zawadi zao za simu aina ya Sumsung mara baada kununua modem za Airtel zenye kasi ya 3.75G, shoto ni Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel - Morogoro, Aluta Kweka.
