MWAKASEGE AFUNDISHA SEMINA YA NENO LA MUNGU,JUNE 1-3 NI ZAMU YA DALLAS, TEXAS.
habari za kitaifa 4:39 PM
Mchungaji na Mwalimu Christopher Mwakasege akitoa Semina ya neno la Mungu alipokua Minnesota, Nchini Marekani, Wiki hii kuanzia June 1- 3, 2012 atakua Dallas, Texas.
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye Semina ya Mchungaji Christopher Mwakasege.
Juu na chini ni Kikundi cha muziki wa Injili kikitumbuiza kwenye semina hiyo.
