MHE. PINDA ATEMBELEA MAONYESHO YA NANE NANE MOROGORO.
Posted by Bigie
habari za ktaifa
2:36 AM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mafuta ya mawese yaliyokamuliwa katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya Ruvu wakati alipotembelea Banda la Jeshi hilo kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti Mosi, 2012. Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua mkungu wa ndizi katika maonyesho ya wakulima Nanenane Mjini Morogoro Agosti Mosi 2012. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mzinga wa asili wa nyuki wadogo wakati alipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya Wakulima Nanenane Mjini Morogoro Agosti Mosi, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Posted by Bigie
on 2:36 AM.
Filed under
habari za ktaifa
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0