RICK ROSS WA BONGO KUMPOKEA AIRPORT RICK ROSS WA MAREKAN
FIESTA, habari za kitaifa, Rick Ross 10:10 PM

Rick Ross wa Bongo kumpokea airport Rick Ross wa Marekani, ama kweli duniani wa wili wa wili

Rick Ross wa Bongo huyu hapa

Rick Ross Kutoka USA na Rick Ross wa Bongo
Rick Ross wa bongo ambaye ni "copy" and "paste" wa Rick Ross wa Marekani amejipanga vizuri kumpokea Msanii huyo pindi atakapotua katika ardhi ya Tanzania tarehe 06 Oct 2012 kwa ajili ya tamasha la Fiesta pale Leaders Club






