TUSKER LITE YAZINDULIWA RASIMI JIJINI DA ES SALAAM


Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries imezindua rasmi kinywaji kipya cha tusker lite usiku wa kuamkia jana katika usiku wa Marketers Night Jijini Dar-es-Salaam.  Angalia picha za namna kinywaji hicho kilivyozinduliwa rasmi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakifuatilia matukio mbalimbali wakati bia mpya ya Tusker Lite ilipozinduliwa sanjari na usiku maalum wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam janaBurudani ilikuwepo kama kawaida.hapa sasa ni Kushow love kwa pamoja.Hii ilikuwa burudani tosha maana jamaa walionesha vipaji vyao si mchezo.Ilikuwa raha mwanzo mwisho.Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti, Steve Cannon pamoja na wafanyakazi wa SBNL wakigonganisha chupa kuashiria furaha ya kuzinduliwa bia hiyo mpya.Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru (mwenye suti kushoto) akimkabidhi zawadi ya Tusker Lite, Meneja bidhaa wa Push Mobile, Gonzoga Rugambwa  baada ya kuibuka mshindi.vimwana  hawa walipamba vilivyo uzinduzi huo.Viongozi mbalimbali wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiwa ukumbini hapo.wadau wa EATV nao walikamatia zawadi zao baada ya mwakilishi wa meza yao kufanya vyema katika kulisakata dance.Wafanyakazi wa kampuni ya bia SBL wakimpongeza mshindi wa shindano la kucheza kwa zawadi ya glass maalum ya Tusker Lite.aadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakifuatilia matukio mbalimbali wakati bia mpya ya Tusker Lite ilipozinduliwa sanjari na usiku maalum wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana.

Posted by Bigie on 11:18 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.