WAOMBOLEZAJI WALIOZIMIA WAKATI WA MAZISHI YA SHARO MILIONEA JANA MKOANI TANGA PAMOJA NA VIDEO YA RIPOTI YA ITV
habari za kitaifa, SHARO MILIONEA 6:23 AM
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na tasnia ya filamu nchini Hussein Ramadhani ''Sharo Milionea''alizikwa jana kijijini kwao lusanga Kilichopo wilayani Muheza na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali na wasanii mbali mbali nchini.
Angalia ripoti ya ITV












