MBUNGE WA MBEYA MJINI AJA NA NGOMA MPYA “HAKUNA MATATA”



Msanii wa Hip Hop nchini na pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia chama cha Chadema JOSEPH MBILINYI alias Sugu,  ameachia rasmi ngoma yake mpya kwa wewe shabiki wake na jina la ngoma hiyo inafahamika kama “Hakuna matata”...... 

Icheki hapo chini

Posted by Bigie on 1:03 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.