WEMA SEPETU NA MARTIN KADINDA NDANI YA PENZI JIPYA???




Wote tunafahamu kuwa Martin Kadinda ni meneja wa Wema Sepetu na wamekuwa na ukaribu kwa kipindi kirefu.

 Lakini hizi picha alizozipost Martin kupitia Instagram hivi karibuni akiwa na Wema huko Afrika Kusini zimeanza kuleta minong’ono.Je, ni wapenzi au  marafiki tu??ukiziangalia  hizi picha namaeezo  yakeutagundua kitu....!!!



Katika picha hiyo juu Martin aliiandikia, “I Heart em moments… She is spoiling me in a way I can’t say thank you and be enough.”
Katika picha hii Martin ameandika: Sisi ni washwiiiity.......... She always say that....Katika picha hii Martin ameandika: Sisi ni washwiiiity………. She always say that….
Hapa ameandika: #InstaTrueLove.... I loove this Gurl.... She is so pure and Ril...... Kila mtu anakasoro zake... Wema wake ni zaidi ya kasoro zake.... @wemasepetu love kimaria maria   4dHapa ameandika: #InstaTrueLove…. I loove this Gurl…. She is so pure and Ril…… Kila mtu anakasoro zake… Wema wake ni zaidi ya kasoro zake…. @wemasepetu love kimaria maria 4d

Posted by Bigie on 3:16 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.