AMANDA NA DOTNATA WAWAFARIJI LULU NA KAJALA


MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefarijika kuona hali nzuri walizonazo mastaa wenzao walioko Segerea, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Kajala Masanja.


Taarifa tulizozipata  zinasema, Jumamosi iliyopita Amanda na mwigizaji Husna Poshi ‘Dotnata’ waliambatana kwenda kuwajulia hali mastaa hao ambao wapo nyuma ya nondo wakikabiliwa na kesi tofauti. 


Imeelezwa kuwa Lulu na Kajala walifarijika kuwaona mastaa hao ambapo waliwaombea kwa Mungu ili kesi zao ziende haraka waweze kurudi uraiani.

Posted by Bigie on 9:22 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.