AMINI NA LINEX WAUNGANA TENA NDANI YA "USIKU WA MTIMA WANGU"



Baada ya kufanya show kali katika fainali za BSS mwishoni mwa mwaka jana na kuzua mjadala kama wapenzi hawa wa zamani wamerudiana, wasanii wa THT Amini na Linah wanatarajia kufanya show nyingine pamoja huko Kigamboni, Dar es Salaam waliyoipa jina la ‘Usiku wa Mtima Wangu’.


Show hiyo inatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Club Kakala siku ya Jumamosi ya January 5 ambapo kiingilio kitakuwa shilingi 6,000 tu.

Wasanii hao kwa sasa wana wimbo mpya uitwao Mtima Wangu unaofanya vizuri kwenye vituo vya radio.

Posted by Bigie on 12:59 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.