LADY JAYDEE AINZA RASMI SAFARI YAKE YA KUUPANDA MLIMA KILIMANJARO
habari za kitaifa, lady jaydee 11:18 PM

Muimbaji mkongwe nchini Tanzania, Judith Mbibo aka Lady Jaydee leo anaanza rasmi safari yake ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Akitoa ratiba yake ya leo kupitia website yake, Jide amesema:
Vitu muhimu vilivyoandaliwa kwa safari yake

Tunaondokea Marangu Gate saa 3:00 asubuhi.Jumatatu ya tar 7 January 2013.
Mtiririko wa picha zaidi utakuwa unakujia kadri safari itakavyokuwa.Kama kutakuwa na network juu ya mlima. Nita post....
Nifuate twitter kwa matukio live, hatua kwa hatua.Twitter.com/jidejaydee ndio anuani yangu.
Tunamtakia Jide safari njema ya kuupanda Mlima Kilimanjaro.






