WEMA SEPETU AANZISHA KAMPUNI YAKE YA FILAMU IITWAYO "ENDLESS FAME FILM"
habari za kitaifa, wema sepetu 3:00 AM
Kupitia mtandao wa kijamii wa picha wa Instagram, Wema Sepetu ameshare picha za kwanza zinazoonesha logo ya kampuni yake iitwayo Endless Fame Films. “Nawaomba mzidi niombea nifike nnapotaka endless fame ifike… Inshallah,” ameandika mrembo huyo.
Tunakutakia kilala heri Wema Sepetu....






