OBAMA AFANANISHWA NA SHETANI...


Rais wa Marekani Barack Obama amefananishwa na shetani baada ya muigizaji Mohamen Mehdi Quazann kucheza sinema inayofanana na muonekano wa shetani huku akionekana kufafana na Obama

Kwa mujibu wa repoti ya CNN filamu hiyo ambayo imeonekana kuteka mashabiki wengi teyari imeshaanza kurushwa vipande vichache vinavyoonyesha jinsi Obama alivyofanana na Mohamen huku akionekana kama shetani kupitia channel ya 'The History'

Mpaka sasa inaonekana filamu hiyo kupata mashabiki wengi na kuteka vichwa vya habari vingi huku mashabiki wengi wakiwa wamemiminika katika mtandao wa twitter na kupata tweets zaidi ya  200 kwa muda mfupi


PRO-24

Posted by Bigie on 1:47 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.