ASKARI MWINGINE AGONGWA AKIONGOZA MSAFARA WA SPIKA WA BUNGE
habari za kitaifa 12:33 PM
Majira ya saa tisa alasiri, mtu mmoja aliyetambuliwa kuwa ni Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa fedha, IFM, Ramadhani Abdi amemgonga kwa gari PC Mbanya aliyekuwa akiongoza magari ya msafara wa Spika wa Bunge, Anne Makinda, na kusababisha askari huyo kuvunjika mguu wa kushoto na mkono wa kushoto.





