HACKERS WAIBOMOA WEBSITE YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM -( UDSM ) NA KUJAZA MATANGAZO YA NGONO

Leo  mchana, mtandao  wa  chuo  kikuu  cha  Dar es salaam  uliingiliwa  na  mahackers  na  kujazwa  matangazo  ya  ngono.....

Matangazo  hayo  machafu  yalikuwa  yamewekwa Chini ya picha ya mkandala kwenye welcoming note ya vice chancelor......

MWONEKANO  WA  MCHANA


Mpaka  mida  ya  saa  tano  usiku mtandao  huo   wa  chuo  maarufu  haukuwa  hewani .....(  www.udsm.ac.tz/ )

MWONEKANO  WAKE  MIDA   HIYO
 UPDATE:
Kwa  sasa  mtandao  huo uko  hewani  tena

Posted by Bigie on 1:15 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.