LULU MICHAEL "FAKE" ABEMBELEZA MASTAA WAMFOLLOW TWITTER


Inaonekana muigizaji wa filamu Elizabeth ‘Lulu’ Michael ameingia location kufanya filamu yake inayoaminika kuwa ya kwanza tangu atoke mahabusu mwezi January mwaka huu.

Kupitia Instagram, juzi Lulu ameshare picha inayomuonesha akiwa location na muigizaji Hashimu Kambi na kuandika, take 1 action, Mic location, me doing my thng.”

Katika hatua nyingine, Lulu amelalamika kuwepo kwa akaunti fake ya Twitter yenye jina lake iitwayo @Lulu_actress.

 “Haya lulu mwingne huyo on twitter…..!am tired jaman…nyie ma lulu nioneeni huruma basi…..!!!nimechoka kusikia case’z zenu!!!!NIMECHOKA JAMANI ,” ameandika Lulu kupitia Instagram.

beaab90cab3211e2a7d622000a9e298f_7
 

Katika akaunti hiyo Fake, mtu huyo ameandika profile yake isemayo: 

Am a bongo movie actress|caring,loving and loved lady| latest movie coming soon by the name The end of tourture| starring wil be me and jb

Akaunti halisi ya Lulu kwenye mtandao wa Twitter ni ile yenye jina @hotlulumichael.

Posted by Bigie on 6:37 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.