MSANII "SIZE 8" AAMUA KUOKOKA NA KUMRUDIA MUNGU


Mwanamuziki wa kike wa nchini Kenya, Linet Munyali aka Size 8 ametangaza kuachana na muziki wa dunia baada ya kuokoka. 


Kuanzia sasa msanii huyo atakuwa akiimba nyimbo za injili na leo ameachia video ya wimbo wake wa kwanza wa gospel, Meteke.

Size 8 ni msanii mwenye mafanikio makubwa nchini Kenya na amekuwa akitafutwa zaidi kufanya show kuliko msanii mwingine wa kike nchini humo. Ukimtoa Avril, hakuna msanii mwingine wa kike aliyeweza kushindana naye.

Posted by Bigie on 1:48 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.