MTU MMOJA ADAIWA KUFA MAJI COCO BEACH MCHANA HUU


Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa Khanga na wasamaria wema katika fukwe za Coco Beach....
 
Taarifa  zilizotufikia  hivi  punde  zinadai  kuwa  mtu  mmoja  (Pichani)  ambaye  bado  hajafahamika  mara  moja  amekutwa  amekufa  maji  Coco-Beach......

Tunaendelea  kufuatilia   undani  wa  habari hii......
Imetolewa  na Thimothy Shao Koko

Posted by Bigie on 5:22 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.