HATIMAYE BALOZI WA VATICAN ALIYENUSURIKA KATIKA SHAMBULIZI LA BOMU ARUHUSIWA KUONDOKA ARUSHA

Ilikuwa ni dakika za majonzi na masikitiko kwa kundi lote lililokuwa limemsindikiza uwanja wa ndege Balozi wa Papa ambaye ameondoka leo mjini Arusha kuelekea Dar, baada ya kunusurika katika shambulio la bomu lililorushwa wakati akiwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kanisa la Mt. Joseph Mfanyakazi huko Olasiti Arusha.

Mwakilishi wa Papa akiwa na Askofu Lebulu akitoka kwenye VIP ya Arusha Airport kuelekea kwenye ndege ya Precision.
Click image for larger version.   Name:	DSC00042.JPG  Views:	0  Size:	164.6 KB  ID:	92800

Hapa akisaidiwa na wafanyakazi wa Precision kukamilisha dokomenti zake za Usafiri, huku ulinzi ukiwa umeimarishwa
Click image for larger version.   Name:	DSC00043.JPG  Views:	0  Size:	164.3 KB  ID:	92801
Kwaheri Mtumishi wa Mungu, tunaomba uje tena tutakapoamua kuzindua upya Parokia Yetu ya Yosefu Mfanyakazi- Olasiti Arusha.

Click image for larger version.   Name:	DSC00044.JPG  Views:	0  Size:	162.5 KB  ID:	92802
Safari yako na iwe njema, Malaika wa mbinguni wakuongoze!

Click image for larger version.   Name:	DSC00045.JPG  Views:	0  Size:	164.7 KB  ID:	92805

Hapa anaagana na watumishi wa Mungu na kundi lote lililomsindikiza.

Click image for larger version.   Name:	DSC00048.JPG  Views:	0  Size:	165.0 KB  ID:	92806
Jamiiforum

Posted by Bigie on 7:29 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.