HUYU NDO MREMBO ATAKAYEWAKILISHA SHINDANO LA BIG BROTHER MWAKA HUU
BBA, habari za kitaifa 1:16 AM


Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye mitandao mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA “The Chase.” Well, hizi ni baadhi ya picha zake.






