TAARIFA YA TBC MCHANA: WABUNGE WA CHADEMA NA CUF WAOMBA RADHI BUNGENI

Dondoo za taarifa (audio imepachikwa hapo chini):
  1. Baraza la Mitihani la Taifa latangaza Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita Kitaifa
  2. Serikali mkoani Morogoro imeifunga shule ya Sekondari ya vipaji maalumu, Mzumbe kwa muda usiofahamika na kuwapa wanafunzi siku mbili, kuanzia leo, kuondoka shuleni hapo
  3. Wabunge wa CHADEMA, CUF waomba radhi Bungeni kutokana na utovu wa nidhamu uliojitokeza jana

Bofya  "play"  kuisikiliza  taarifa ya habari

Posted by Bigie on 6:17 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.