UPDATE: WANAFUNZI WA SHULE YA MANZESE WAKUMBWA NA "POPO BAWA"....30 WAMEANGUSHWA CHINI MUDA HUU

Wanafunzi wa shule ya secondary manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema a maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:

Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.

Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka. Wadau  wa  mambo ya giza wanadai  ni  NGUVU ZA KICHAWI

Picha/Habari Zainab Chondo -ITV

Posted by Bigie on 1:09 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.