VIDEO YA WAZEE WATATU WAKICHOMWA MOTO HADHARANI KWA MADAI KWAMBA NI WACHAWI


Hii ni marudio na ni kumbukumbu ya unyama waliotendewa vikongwe watatu na wanakijiji kwa madai kwamba ni wachawi.... 


Vikongwe hao walipewa adhabu kali ya kuchapwa hadharani na kisha kuchomwa moto..... 

 Itazame video ya tukio hilo la kinyama

Posted by Bigie on 2:03 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.