"SIKUHUDHU"RIA MAZISHI YA NGWEA KWA SABABU BABA YANGU ALIKUWA NI MGONJWA"... 20 PERCENT
habari za kitaifa 4:48 AM
Mwanamuziki aliyewahi kuvunja rekodi ya mwaka 2010 kwa kunyakua tuzo tano kwa mfululizo Abasi Kizasa" 20 pacent" ameibuka na kutoa sababu za msingi za kushindwa kwenda kushiriki kwenye mazishi ya mwanamuziki mwenzake Arbeth Mangwair kutokana na kuuguliwa sana babaake mzazi ambae ana kansa ya utumbo.
Akiongea na Xdjayaz , 20 pacent alisema kuwa baba yake alikuwa ni mgonjwa kiasi cha yeye kushindwa kutoka
" Siku wakati watu wanaondoka kwenda Morogoro kuzika huku mimi babaangu alikuwa hali mbaya sana na alikuwa amelazwa Hospitalini hiyvo isingekuwa rahisi kumuacha akiwa kwenye hali ile na mimi ndo nilikuwa msimamizi wa kila kitu" Alisema mwanamuziki huyo.