MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI YA GARI....DEREVA ATIMUA MBIO
habari za kitaifa 10:47 PM
Mtu mmoja amefariki dunia na waengine kumi kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Hiace lilikuwa linatoka Arusha kwenda Karatu kupasuka gurudumu la nyuma na kupinduka katika kijiji cha Silonga wilayani Monduli.






