RAIS KIKWETE AWATAKA VIONGOZI WA DINI WAENDELEE KUHUBIRI AMANI, UPENDO NA MSHIKAMANO

Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri kuhusu amani upendo na mshikano na kuendelea kuwajenga vijana katika maadili mema ili taifa lisiangamie.

Rais kiwete ameyasema hayo Mkoani Morogoro katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Telesphori Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro ambapo amesema serikali itaendela kushirikiana na kanisa katoliki katika mambo mbalimbali kwa manufaa ya watanzania wote

Posted by Bigie on 12:40 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.