VIDEO YA MATEKA AKING'OLEWA MENO KIKATILI...NI UNYAMA ULIOPITILIZA


Pengine umewahi kusisimka mwili kwa kusoma habari ama kuhadithiwa taarifa za watu kufanyiwa ukatili wa kupigwa, kutobolewa macho, kung'olewa kucha, kupigwa viwiko vya viungo vya mwili na pengine maumivu makali kuliko yote, ni yale ya jino, halafu ling'olewe bila ya kutumia dawa ya aina yoyote ile ya ganzi. 

Jaribu  kuvuta  taswira  ya  watanzania  waliowahi  tekwa  na  kunyofolewa  macho  na  meno.....NI  ZAIDI  YA  UNYAMA...
UTAZAME  UNYAMA  HUO...

Posted by Bigie on 12:11 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.