BBA: MSHIRIKI WA TANZANIA ( NANDO) HUENDA AKASHITAKIWA KWA KOSA LA KUMDHALILISHA MSHIRIKI WA KIKE TOKA GHANA


Mshiriki wa pekee katika Jumba la BBA The Chase , Selly kutoka nchini Ghana, amesema ya kwamba yupo mbioni kumfungulia mashtaka mshiriki kutoka nchini Tanzania Nando kwa kitendo cha kumdhalilisha na kumsingizia amemuambukiza Ugonjwa wa Zinaa.

Baada ya kutolewa katika jumba hilo wiki iliyopita, Selly ameshauriwa na mama yake na tayari wamewasiliana na Waandaji wa Shindano hilo. " Nimepima  sijakutwa na maambukizi ya aina yoyote ya Magonjwa ya Zinaa wala sina historia hiyo" Alisema Selly.

" Mimi na Nando hatukufanya Mapenzi zaidi ya kucheza tu Kitandani, nashangaa hata kwa kiasi gani mambo yamekuwa hivi" Aliongeza Mrembo huyo.

Posted by Bigie on 4:10 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.